Sajili
Kabrasha la Sauti
Machafuko yanayoendelea nchini Mali yanakatili maisha ya watoto wengi , kuwaathiri kisaikolojia na kuweka njia panda mustakabali wao limeonya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto