Mabaharia

COVID-19 imethibitisha umuhimu wa usafiri wa bahari na mchango wa mabaharia:Guterres

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya sekta ya bahari , janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 limethibitisha umuhimu wa bahari na kujitolea kwa mamilioni ya mabaharia wanaofanya kazi katika sekta

Sauti -
2'

Jarida 30 Septemba 2021

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya sekta ya bahari , janga la corona au COVID-19 limethibitisha umuhimu wa bahari na kujitolea kwa mamilioni ya mabaharia wanaofanyakazi katika sekta hiyo amesem

Sauti -
12'14"

Mabaharia watambuliwe kuwa wafanyakazi walio mstari wa mbele- UN

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya sekta ya bahari , janga la corona au COVID-19 limethibitisha umuhimu wa bahari na kujitolea kwa mamilioni ya mabaharia wanaofanyakazi katika sekta hiyo amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres.

Mabaharia ni wafanyakazi muhimu na wa msitari wa mbele wanaostahili kupewa haki:UN 

Leo ni siku ya mabaharia duniani na katibu mkuu wa shirika la kimataifa la masuala ya bahari IMO Kitack Lim amesema mabaharia siku zote wamekuwa kitovu cha biashara duniani na kazi yao inagusa maisha ya kila mtu iwe ni chakula kinawekwa mezani kwetu, dawa zinazodumisha afya ya kila mtu, kompyuta zinazotumika kwa kazi au kujiburudisha au magari yanayotusafirisha kila siku. 

Mashirika ya kimataifa yataka mabaharia na wahudumu wa ndege kupewe kipaumbele cha chanjo ya COVID-19

Taarifa ya pamoja iliyotolewa leo na mashirika ya kimataifa imetoa wito kwa mabahatria na wahudumu wa ndege kuchukuliwa kama ni watoa huduma walio msitari wa mbele na hivyo kupewa kipaumbele katika chanjo dhidi ya corona au COVID-19.