Luteni Jenerali Leonard Ngondi

Amani ya Darfur iko mikononi mwa watu wa Darfur na serikali yao:Ngondi

Maendeleo na amani ya kudumu katika eneo lililoghubikwa na mizozo la Darfur nchini Sudan  vitaletwa na raia wenyewe wa Darfur pamoja na serikali ya nchi hiyo.