Lishe bora

18 Oktoba 2021

Karibu kusikiliza jarida ambapo baada ya kusikiliza habari kwa ufupi utasikia mada kwa kuhusu chakula cha asili kutoka Kilimanjaro nchini Tanzania.

Sauti -
11'10"

Wananchi waishio mijini washauriwa kula vyakula vya asili

Mashirika ya Umoja wa Mataifa lile la chakula na kilimo duniani, FAO na la mpango wa chakula WFP nchini Tanzania wametumia maadhimisho ya siku ya chakula duniani mwishoni mwa wiki yaliyofanyika mkoani Kilimanjaro kuwataka wananchi kuondokana na kasumba ya kupenda vyakula kutoka nje ya nchi na badala yake wazalishe na kula vyakula vya asili kama njia mojawapo ya siyo tu kuimarisha lishe bali pia mifumo ya uzalishaji chakula. 

Takriban watu bilioni 1.9 Asia Pasifiki hawapati lishe bora-Ripoti UN 

Athari za kiuchumi kutokana na janga la COVID-19 na kuongezeka kwa bei ya vyakula imepelekea takriban watu bilioni 2 Asia Pasifiki kutoweza kupata lishe bora imesema ripoti ya Umoja wa Mataifa, Jumatano. 

Kutoa ni moyo si utajiri

Bi Neema Mustafa mkazi wa Kijiji cha Kiswanya, wilayani Kilombero, Morogoro Tanzania ni mtu mwenye ulemavu ambaye anaishi katika hali ya kupooza kwa zaidi ya miaka 20 tangu  alipopooza mwili wake akiwa na msichana mdogo wa umri wa takribani miaka 20.

Sauti -
4'15"

Tumenufaika sana na mafunzo ya lishe endelevu-Morogoro

Wanawake 40 na wanaume 21 wamenufaika na mafunzo kuhusu lishe endelevu, mafunzo ambayo yamefanyika katika eneo la Mvomero, Turiani Morogoro Tanzania kwa usimamizi wa shirika la Save the Children.

Sauti -
3'43"

05 Agosti 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Assumpta Massoi 
-Lebanon,iko katika siku ya maombolezo kufuatia mlipuko mkubwa wa jana katika mji mkuu Beirut UNIFIL iko tayari kusaidia.
Sauti -
11'52"

Mradi wa WFP waleta neema kwa watoto na wazalishaji wa maziwa Burkina Faso

Mradi wa shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula WFP umeleeta neema kwa wafugaji wazalishaji wa maziwa nchini Burkinafaso sio tu kwa kuwaepusha na umasikini lakini pia kukidhi mahitaji ya familia zao na hasa watoto wao wanaopata lishe bora ya maziwa hayo shuleni. 

FAO yasema mlo wa asili Mediterranea ni muhimu kwa SDGs

Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo

Sauti -
2'53"

Mlo wa asili Mediterranea ni muhimu kwa SDGs:FAO

Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO kwa kushirikiana na serikali ya Italia wanapigia chepuo umuhimu wa mlo wa Mediterania. 

Wanakijiji wapata elimu ya lishe bora kwa mtoto nchini Tanzania

Kila mwaka Agosti mosi ni mwanzo wa wiki ya unyonyeshaji duniani ikiwa na lengo la kutoa elimu na kuhimiza jamii kuhusu umuhimu wa mtoto kupata maziwa ya mama kwa miezi sita ya mwanzo ya maisha yake.