Lise Grande

Bomu la kurushwa kutoka angani linahofiwa kuua wengi Yemen

Taarifa ya pamoja iliyotolewa hii leo jumapili mjini Sana’a na mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen pamoja na mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini humo imeeleza kuwa taarifa za awali zinaonesha kuwa takribani watu 60 wamefariki na wengine 50 kujeruhiwa katika eneo lililoko kaskazini mwa viunga vya mji wa Dhamar kwenye eneo ambalo awali lilikuwa chuo lakini sasa likitumika kama gereza linalokadiriwa kuwa na wafungwa 170.

Raia wauawa nchini Yemen, UN yataka ukweli kuhusu tukio hilo

Ripoti kutoka mji mkuu wa Yemen, Sana’a, zinasema kuwa raia 11 wakiwemo wanafunzi watano wameuawa ilhali wengine kadhaa wamejeruhiwa katika shambulio la Jumapili kwenye wilaya ya Shu’aub mjini humo.

UN yahaha kuwezesha kusafirisha nje ya nchi wagonjwa mahututi Yemen

Umoja wa Mataifa nchini Yemen uko kwenye harakati za kuwezesha kufunguliwa kwa safari za ndege ili kuwezesha wagonjwa mahututi kusafirishwa nje ya nchi kwa matibabu ya magonjwa ambayo hayawezi kutibiwa nchini humo.

Mapigano Hudaidah yatishia mamia ya maelfu ya raia Hudaidah- OCHA

Maisha ya maelfu ya watu yako hatarini Hudaidah, amesema Bi Lise Grande, mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen.

Wenye bahati Yemen hula mlo mmoja kwa siku- OCHA

Nchini Yemen hali ya kibinadamu hususan upatikanaji wa chakula inazidi kuwa ya shida kila uchao kwa wananchi ambapo Umoja wa Mataifa unasema wale wenye bahati angalau wanaweza kula mlo mmoja kwa siku, ilhali idadi kubwa wanakula mara chache kwa wiki.

Sauti -
1'26"

Licha ya mashambulizi, watoa misaada bado wapo Yemen- Grande

Maelfu ya raia wa Yemeni wapo katika hali ya sintofahamu kutokana na mapigano yanayoendelea kwenye mji wa bandari wa Hudaydah magharibi mwa nchi hiyo.

Mapigano hayo yaliyoanza jumamosi yamsebabisha ongezeko la mahitaji ya misaada ya kibinadamu.

Sauti -
1'52"

Misaada yahitajika kwa maelfu ya wayemeni

Maelfu ya raia wa Yemeni wapo katika hali ya sintofahamu kutokana na mapigano yanayoendelea kwenye mji wa bandari wa Hudaydah magharibi mwa nchi hiyo.