Takriban watu 47 wakiwemo watoto na wanawake walipoteza maisha wakati vikosi vya usalama nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo (DRC) vilipokuwa vinazima maandamano kati ya Januari Mosi 2017 na 31 Januari 2018, imesema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa.