Law, crime

Guterres alaani mashambulizi ya kigaidi Baghdad leo

Kongamano la kimataifa la takwimu na uhamiaji lang’oa nanga Paris:IOM

Shirika la  Umoja wa Mataifa la  Uhamiaji IOM kwa ushirikiano na idara ya mambo ya uchumi  na kijamii  ya Umoja wa Mataifa UNDESA na shirika la ushirikiano wa maendeleo na uchumi OECD leo wameanza kongamano mjini Paris Ufaransa kuhusu ukusanyaji takwimu za uhamiaji duniani.

Sauti -

Kongamano la kimataifa la takwimu na uhamiaji lang’oa nanga Paris:IOM

Mwaka 2018 waanza na zahma kwa watoto Syria : UNICEF

Kwa mujibu wa bwana Fran Equiza, msemaji wa UNICEF Syria, ni masikitiko makubwa kwa wazazi kupoteza watoto mwanzoni mwa mwaka katika miji hii ya m

Sauti -

Mwaka 2018 waanza na zahma kwa watoto Syria : UNICEF

Wanawake huuzwa kama bidhaa Afghanistan

Licha ya jumuiya ya kimataifa kupaza sauti dhidi ya unyanyasaji na ukatili dhidi ya wanawake na wasichana, hali ni tofauti nchini Afghanistan ambapo inaelezwa kuwa wasichana huuzwa kama bidhaa, wakilazimishwa kufungishwa ndoa.

Sauti -

Wanawake huuzwa kama bidhaa Afghanistan

Tunafuatilia kwa karibu kinachoendelea Tunisia:UN

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa leo imesema kuwa inafuatailia  kwa karibu maanadamano yanayoendelea nchini Tunisia , athari zake na hatua zinazochukuliwa  na serikali ya nchi hiyo. Siraj Kalyango ana maelezo zaidi.

Sauti -

Tunafuatilia kwa karibu kinachoendelea Tunisia:UN

Tuache fikra potofu tunapojadili uhamiaji- Guterres

Mtazamo potofu kuhusu uhamiaji na wahamiaji umeendelea kukwamisha matumizi bora ya dhana hiyo kote ulimwenguni, amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres hii leo wakati akizindua ripoti yake kuhusu mbinu za kufanya uhamiaji uwe na manufaa kwa wote. Patrick Newman na ripoti kamili.