Law, crime

Mashambulizi ya bomu Iraq yalaaniwa vikali na UM

Haki za washitakiwa ziheshimiwe Kyrgyzstan:Pillay

Kamishina Mkuu wa Haki za Binadamu Navi Pillay Alhamisi ameelezea masikitiko yake kuhusu mahakama kuu ya Kyrgyzstan hapo Desemba 20 kuzingatia uamuzi wa hukumu na kifungo cha maisha jela kwa mtetezi wa haki za binadamu Azimjan Askarov, licha ya ripoti kwamba aliteswa akiwa rumande na haki zake za

Sauti -

Haki za washitakiwa ziheshimiwe Kyrgyzstan:Pillay

Bahrain lazima ichukue hatua mara moja kuachilia wafungwa wa kisiasa:Pillay

Maafisa wawili wa zamani wa jeshi la Rwanda wahukumiwa kwenda jela maisha:ICTR

Maafisa wawili waandamizi wa zamani katika jeshi la Rwanda leo wamehukumiwa na mahakama ya kimataifa inayosikiliza kesi za mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994.

Sauti -

Maafisa wawili wa zamani wa jeshi la Rwanda wahukumiwa kwenda jela maisha:ICTR

Baraza la Usalama lajadili Guinea-Bissau

Hali nchini Guinea-Bissau imejadiliwa Jumatano kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuleta amani nchini humo UNOGBIS inalisaidia taifa hilo la Afrika ya Magharibi kujenga amani na hali ya utulivu.

Sauti -

Baraza la Usalama lajadili Guinea-Bissau

UNHCR yatiwa hofu na matukio ya kiusalama kwenye kambi ya Dadaab

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema limetiwa hofu na matukio ya karibuni ya kiusalama kwenye kambi ya wak

Sauti -