Law, crime

UM walaani mashambulizi ya makao ya balozi nchini Syria

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limelaani mashambulizi kwenye balozi kadha kwenye mji mkuu wa Syria Damascus. Katika siku za hivi majuzi wafuasi wa rais Bashar Al-Assad wameshambulia balozi za Uturuki, Qatar, Saudi Arabia na Ufaransa.

Sauti -

UM walaani mashambulizi ya makao ya balozi nchini Syria

UNICEF yashangazwa na kuuawa kwa watoto nchini Somalia

Mwakilishi wa shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF nchini Somalia Sikander Khan amesema kuwa kumekuwa na vifo vingi vya watoto w

Sauti -

UNICEF yashangazwa na kuuawa kwa watoto nchini Somalia

Sudan na Sudan Kusini wanahitaji mipango madhubuti ya kuishi pamoja

Mkuu wa huduma za kulinda amani za Umoja wa Mataifa Herve Ladsous amesema kuwa mataifa ya Sudan na Sudan Kusini ni lazima yawe na mikakati ya kuishi pamoja kwa amani.

Sauti -

Sudan na Sudan Kusini wanahitaji mipango madhubuti ya kuishi pamoja

Pillay ataka uchunguzi ufanyike dhidi ya shambulio la bomu kambini Sudan Kusini

Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Navi Pillay leo Ijumaa ametoa wito wa kufanyika uchunguzi wa shambulio la mabomu la anga lililotokea Alhamisi kwenye kambi ya wakimbizi jimbo la Unity nchini Sudan Kusini.

Sauti -

Pillay ataka uchunguzi ufanyike dhidi ya shambulio la bomu kambini Sudan Kusini

UNHCR yalaani mashambulizi kwenye kambi nchini Sudan