Law, crime

Pillay alaani jeshi na vikosi vya usalama kwa kuuwa waandamanaji nchini Misri

Kamishina mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Navi Pillay Jumatano amelaani jukumu la jeshi na vikosi vya usalama nchini Misri kwa kujaribu kukandamiza waandamanaji katika siku tano zilizopita na hususani taarifa za kuuawa waandamanaji zaidi ya 30 na wengine wengi kujeruhiwa.

Sauti -

Pillay alaani jeshi na vikosi vya usalama kwa kuuwa waandamanaji nchini Misri

Ghasia zapamba moto Misri kati ya polisi na waandamanaji

Kunaripotiwa kuongezeka kwa makabiliano kati ya waandamanaji na polisi kwenye eneo la Tahir Square kwenye mji mkuu wa Misri Cairo kwa siku ya nne mfululizo.

Sauti -

Ghasia zapamba moto Misri kati ya polisi na waandamanaji

Mahama ya ICC ndiyo itaamua itakaposikilizwa kesi ya Qadhafi:Ocampo

Mwendesha mashataka mkuu kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC Luis Moreno Ocampo amesema kuwa itakuwa ni uamuzi wa mahakama h

Sauti -

Mahama ya ICC ndiyo itaamua itakaposikilizwa kesi ya Qadhafi:Ocampo

UM washitushwa na ghasia na ukiukwaji wa uhuru katika maandalizi ya uchaguzi wa bunge Misri

Kundi la wataalamu wa uhuru wa Umoja wa Mataifa Jumatatu wameelezea hofu yao kuhusu kiwango cha ghasia na kuzorota kwa uhuru wa kukusanyika kwa amani hali ambayo imesababisha kupotea kwa maisha ya watu nchini Misri.

Sauti -

UM washitushwa na ghasia na ukiukwaji wa uhuru katika maandalizi ya uchaguzi wa bunge Misri

Rais wa ICC akaribisha hatua ya kukamatwa kwa mtoto wa Qadhafi

Rais wa mkataba wa Roma unaounda mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC amekaribisha hatua ya kukamatwa kwa mtoto wa kiongozi wa zamani wa Libya

Sauti -

Rais wa ICC akaribisha hatua ya kukamatwa kwa mtoto wa Qadhafi