Law, crime

Kenya yatoa hati ya kukamatwa Rais Al-Bashir wa Sudan

Mahakama ya Kenya imetoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Sudan Omar Al-Bashir anayekabiliwa na madai ya uhalifu wa kivita kwenye jimbo la Darfur. Uamuzi huo umetolewa baada ya serikali ya Kenya kumruhusu Rais Bashir kuzuru nchini humo mwezo Agosti.

Sauti -

Kenya yatoa hati ya kukamatwa Rais Al-Bashir wa Sudan

UNHCR yaikata Uingereza kuwajali watu wasio na makwao

Mshukiwa wa utawala wa Khmer Rouge atatea vitendo vyake

Aliyekuwa naibu katibu wa chama tawala kwenye utawala wa Khmer Rouge nchini Cambodia ameiambia mahakama inayosilikiza kesi inayomkabili kuhusu uhalifu wa kivita kuwa alijaribu kuilinda Cambodia wakati wa utawala dhalimu ulioitawala Cambodia miaka ya 70.

Sauti -

Mshukiwa wa utawala wa Khmer Rouge atatea vitendo vyake

Washukiwa wa ugaidi wapewe haki :UM

Mwongozo wa sera wa Umoja wa Mataifa unaotoa ushauri jinsi ya kufanyia mabadiliko na kuimarisha mahakama ili ziwe za haki kwa washukiwa wa ugaidi na familia zao umetolewa.

Sauti -

Washukiwa wa ugaidi wapewe haki :UM

Utekelezaji wa sheria za kukomesha ukatili dhidi ya wanawake Afghanistan bado uko mbali:Pillay