Law, crime

Mapigano mapya yasababisha watu kuhama nchini Somalia

Shirika la kuwahudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limeelezea wasisi uliopo kufuatia ghasia zinazoendelea kusini mwa Somalia.

Sauti -

Mapigano mapya yasababisha watu kuhama nchini Somalia

UM walaani shambulio la kujitoa muhanga Moghadishu

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia Dr Augustine Mahiga amelaani vikali shambulio la bomu la kujitoa muhanga hii leo kwenye ofisi za serikali ya mpito mjini Moghadishu ambalo limekatili maisha ya watu wengi na kujeruhi wengine.

Sauti -

UM walaani shambulio la kujitoa muhanga Moghadishu

ICC kuchunguza mauaji yaliyotekelezwa Ivory Coast:Ocampo

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC leo Jumatatu imempa idhini mwendesha mashitaka mkuu kuanzisha uchunguzi dhidi ya ghasia na mauaji yaliyof

Sauti -

ICC kuchunguza mauaji yaliyotekelezwa Ivory Coast:Ocampo