Law, crime

OHCHR yahuzunishwa na kunyongwa kwa watu nchini Saudi Arabia

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imehusunishwa na hatua ya Saudi Arabia ya siku ya ijumaa ya kuwanyonga hadharani wanaume 15, 8 kati yao wakiwa ni wahamiaji wafanyikazi raia wa kigeni.

Sauti -

OHCHR yahuzunishwa na kunyongwa kwa watu nchini Saudi Arabia

Hofu kutokana na ghasia kwenye Ukingo wa Magharibi:UM

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imeelezea wasi wasi wake kutokana na ghasia zinazoendeshwa na walowezi wa kiyahudi dhidi ya raia wa kipalestina kwenye ukingo wa magharibi tangu mwezi Septemba.

Sauti -

Hofu kutokana na ghasia kwenye Ukingo wa Magharibi:UM

Ukatili dhidi ya wanawake haukubaliki duniani:Manjoo

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu ukatili dhidi ya wanawake Rashida Manjoo amesema kuota mizizi na kusambaa kwa ukatili dhidi ya wanawake ni sala lisilokubalika popote dniani.

Sauti -

Ukatili dhidi ya wanawake haukubaliki duniani:Manjoo

IOM yazindua kampeni kukabili biashara haramu ya usafirishwaji watu

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na uhamiaji leo limezindua kampeni maalum huko Berlin yenye shabaha ya kukabiliana na tatizo la usafirishaji haramu wa binadamu.

Sauti -

IOM yazindua kampeni kukabili biashara haramu ya usafirishwaji watu

Mkuu wa UNICEF ataka ulinzi wa haraka kwa watoto Yemen

Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF ametoa wito wa ulinzi wa haraka kwa watoto nchini Yemen ambao wamejikuta katika hat

Sauti -

Mkuu wa UNICEF ataka ulinzi wa haraka kwa watoto Yemen