Law, crime

UM walaani matumizi ya nguvu dhidi ya waandamanaji nchini Yemen

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imelaani mauaji ya waandamanaji wenye amani kwenye miji ya sanaa na Taiz nchini Yemen.

Sauti -

UM walaani matumizi ya nguvu dhidi ya waandamanaji nchini Yemen

Guterres aomba kuachiliwa kwa madaktari waliotekwa nyara Kenya

Mkuu wa shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa ameelezea mshangao wake kutokana na kutekwa nyara kwa wafanyikazi wawili wa kike wa kutoa misaada kutoka kwenye kambi ya Daadab nchini Kenya baada ya dereva wao kupigwa risasi.

Sauti -

Guterres aomba kuachiliwa kwa madaktari waliotekwa nyara Kenya

Taifa la Yemeni lakabiliwa na njaa kubwa wakati pia likikumbwa na matatizo ya kibinadamu

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP leo limeonya kwamba kuzorota kwa hali ya usalama wa chakula iliyochangiwa na kupanda kwa bei, upungufu wa mafuta na matatizo ya kisiasa kunazifanya familia nyingi kushindwa kulisha watu wake.

Sauti -

Taifa la Yemeni lakabiliwa na njaa kubwa wakati pia likikumbwa na matatizo ya kibinadamu

Baraza la Usalama lalaani vikali mauaji ya walinda amani wa UNAMID Darfur

Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamelaani vikali mashambulizi dhidi ya walinda amani wa vikosi vya pamoja vya Umoja wa Mataifa na muungano wa Afrika UNAMID kwenye jimbo la Darfur Sudan.

Sauti -

Baraza la Usalama lalaani vikali mauaji ya walinda amani wa UNAMID Darfur

Uzalishaji wa Kasumba waongezeka Afghanistan:UNODC

Uzalishaji wa kasumba umeongezeka kwa asilimia 60 nchini Afghanistan kwa mwaka huu. Hii ni kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa leo na Umoja wa Mataifa na serikali ya Afghanistan.

Sauti -

Uzalishaji wa Kasumba waongezeka Afghanistan:UNODC