Law, crime

Saif Al Islam huenda akajisalimisha ICC

Kuna taarifa kuwa huenda mtoto wa pili wa aliyekuwa kiongozi wa Libya Muammar Qadhafi, akajisalimisha kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC

Sauti -

Saif Al Islam huenda akajisalimisha ICC

Vikosi vya Kenya vyapambana na Al shabaab nchini Somalia

Vikosi vya Kenya kwa sasa viko nchini Somalia kupambana na wanamgambo wa Al Shabaab ambao mara kwa mara wamekuwa wakivuka mpaka na kuingia nchini Kenya ambapo wanatekeleza vitendo vikiwemo vya utekaji nyara na mauaji.

Sauti -

Vikosi vya Kenya vyapambana na Al shabaab nchini Somalia

UM wathibitisha vikosi vya Kenya kuingia Somalia

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia Balozi Augstine Mahiga leo amethibitisha kwamba vikosi vya jeshi la Kenya vimeingia Somalia.

Sauti -

UM wathibitisha vikosi vya Kenya kuingia Somalia

ICC yaitaka Malawi kueleza sababu ya kutomkamata rais Bashir

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ya Hague imeitaka Malawi kueleza sababu zilizoifanya kutomkamata rais wa Sudan Omar Hassan al- Bashir ambaye anatafutwa na mahakama hiyo kutokana na mashataka ya uhalifu wa kivita na mauaji ya halaiki baada ya ripoti kuwa alifanya ziara nchini Malawi.

Sauti -

ICC yaitaka Malawi kueleza sababu ya kutomkamata rais Bashir

Uharamia umepita mipaka na nia za kiuchumi:Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema uharamia umevuka mipaka ya kitaifa na haja za kiuchumi.

Sauti -

Uharamia umepita mipaka na nia za kiuchumi:Ban