Law, crime

Mauwaji ya mandishi wa habari India ya laaniwa vikali

Mauwaji ya mandishi wa habari India ya laaniwa vikali

Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na utetezi wa uhuru wa vyombo vya habari ameshutumu na kulaani vikali tukio la mauwaji ya mwandishi wa habari mmoja wa India ambaye mauwaji yake yanasadikika kufungamanishwa na hatua zake za kuripoti juu ya mwenendo wa biashara ya mafuta kwa njia ya Mafia inay

Sauti -

UM wataka raia kupewa usalama zaidi nchini Afghanistan

UM wataka raia kupewa usalama zaidi nchini Afghanistan

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan umeutaja mwezi uliopita wa Mei kama uliokumbwa na mashambulizi mengi zaidi nchini humo kwa miaka ya hivi majuzi ambapo umetaka raia kupewa usalama zaidi.

Sauti -