Law, crime

Baada ya kisa mkasa wajane wakabiliwa na adha chungu nzima

Baada ya kisa mkasa wajane wakabiliwa na adha chungu nzima

Kina mama wajane kote duniani wanakabiliwa na matatizo mengi, kuanzia ngazi ya familia, jamii , kitaifa na hata kimataifa. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa kuna wajane zaidi ya milioni 245 na zaidi ya nusu wanakabiliwa na kuishi kwenye umasikini mkubwa hasa katika nchi zinazoendelea.

Sauti -

Afisa wa UM aitaka Sudan Kusini kutia sahihi mikataba muhimu ya haki za binadamu

Afisa wa UM aitaka Sudan Kusini kutia sahihi mikataba muhimu ya haki za binadamu

Afisa wa ngazi ya juu kwenye Umoja wa Mataifa anasema kuwa eneo la Sudan Kusini ambalo hivi karibuni litakuwa taifa huru linastahili kuhakikisha kuwa wananchi wake wanafurahia uhuru mara litakapotangazwa huru.

Sauti -