Kyangwali

Miradi miwili ya maji Kyaka na Kyangwali yaondoa adha kwa wakimbizi na wenyeji

Nchini Uganda, wakimbizi wanaoishi kwenye makazi ya Kyaka na Kyangwali pamoja na wenyeji wao wameanza kunufaika na miradi miwili ya maji iliyojengwa na shirika la uhamiaji duniani, IOM kwa msaada wa fedha kutoka Muungano wa Ulaya, EU.

Wanafunzi wakimbizi na wenyeji katika shule ya sekondari Kyangwali Uganda wafurahia maabara mpya za sayansi

Katika kuitikia wito wa Umoja wa  Mataifa wa kusaidia wakimbizi na jamii zinazowahifadih kupata elimu, nchini Uganda, serikali ya Japani imekamilisha ujenzi wa maabara ya sayansi kwenye shule ya secondari ya Kyangwali katika makazi ya wakimbizi ya Kyangwali na kuikabidhi kwa jamii husika.

Sauti -
2'15"

Japan 'yapiga jeki' elimu ya sayansi miongoni mwa wakimbizi, Uganda

Katika kuitikia wito wa Umoja wa  Mataifa wa kusaidia wakimbizi na jamii zinazowahifadih kupata elimu, nchini Uganda, serikali ya Japani imekamilisha ujenzi wa maabara ya sayansi kwenye shule ya secondari ya Kyangwali katika makazi ya wakimbizi ya Kyangwali na kuikabidhi kwa jamii husika. John Kibego na maelezo Zaidi.

07 Novemba 2019

Hukumu ya John Bosco Ntaganda iliyotolewa leo huko The Hague ndio habari yetu muhimu ikifuatiwa na huko Sudan  Kusini, Umoja wa Mataifa na wadau wafika kambi ya kikundi cha SPLA upande wa upinzani kuona iwapo wanatumikisha watoto na wanawake vitani au la, kisha tunabisha hodi Uganda, ambako serik

Sauti -
13'1"

Kijana mkimbizi aanzisha radio kambini, wakimbizi wakisisitiza umuhimu wake Kyangwali, Uganda

Wakati dunia ikiadhimisha siku ya radio hii leo, shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni, UNESCO limsema ra

Sauti -
4'

Kijana mkimbizi atumia radio chakavu kurusha matangazo huko kambini Kyangwali nchini Uganda

Leo Ijumaa katika makala kwa kina tuko nchini Uganda katika kambi ya wakimbizi ya Kyangwali, ambako John Safari, mkimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ametumia ubunifu na ujuzi wa kukarabati redio na kuanzisha mtambo wa kurusha matangazo ya  redio yanachohabarisha jamii ya wakim

Sauti -
5'12"

Ufahamu wa Kiswahili wamwinua mwananchi wa Uganda miongoni mwa wakimbizi

Lugha ya Kiswahili imeendelea kusambaa na kukita mizizi hata katika maeneo ambayo hapo awali haikuwa na nguvu. Na kuenea kwa lugha hiyo adhimu kunachagizwa na matukio tofauti tofauti iwe amani na hata wakati mwingine mizozo.

Sauti -
3'44"

Wanafunzi Hoima wapaza sauti dhidi ya ukatili wa kijinsia

Hatimaye siku 16 za kupiga vita na kutokomeza ukatili wa kijinsia kwa mwaka huu wa 2018 zimefikia tamati ambapo maeneo mbalimbali duniani yametamatisha kampeni hiyo kwa matukio tofauti.

Sauti -
3'38"

22 Novemba 2018

Katika Jarida maalum leo hii tunaangazia faida za teknolojia ya simu za kiganjani au rununu ambapo Tanzania tutawasikia madaktari wanafunzi walioanzisha huduma ya daktari mkononi, wakimbizi nao wafaidika na simu huko katika Kambi ya Kyangwali na Waziri wakenya asema vitu vingi vingekwama kama siy

Sauti -
12'38"

30 Mei 2018

Jarida hii leo Siraj Kalyango anakuletea:

Sauti -
11'17"