Kyangwali

Ufahamu wa Kiswahili wamwinua mwananchi wa Uganda miongoni mwa wakimbizi

Lugha ya Kiswahili imeendelea kusambaa na kukita mizizi hata katika maeneo ambayo hapo awali haikuwa na nguvu. Na kuenea kwa lugha hiyo adhimu kunachagizwa na matukio tofauti tofauti iwe amani na hata wakati mwingine mizozo.

Sauti -
3'44"

Wanafunzi Hoima wapaza sauti dhidi ya ukatili wa kijinsia

Hatimaye siku 16 za kupiga vita na kutokomeza ukatili wa kijinsia kwa mwaka huu wa 2018 zimefikia tamati ambapo maeneo mbalimbali duniani yametamatisha kampeni hiyo kwa matukio tofauti.

Sauti -
3'38"

22 Novemba 2018

Katika Jarida maalum leo hii tunaangazia faida za teknolojia ya simu za kiganjani au rununu ambapo Tanzania tutawasikia madaktari wanafunzi walioanzisha huduma ya daktari mkononi, wakimbizi nao wafaidika na simu huko katika Kambi ya Kyangwali na Waziri wakenya asema vitu vingi vingekwama kama siy

Sauti -
12'38"

30 Mei 2018

Jarida hii leo Siraj Kalyango anakuletea:

Sauti -
11'17"

Mlipuko wa kipindupindu wadhibitiwa miongoni mwa wakimbizi, Uganda

Licha ya idadi ya wakimbizi walioambukizwa maradhi ya kipindupindu nchini Uganda kuongezeka hadi 949 kutoka takribani wagonjwa 700 Ijumaa iliyopita, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, nchini humo limesema mlipuko huo umeanza kudhibitiwa.

Kipindupindu chalipuka kambi ya wakimbizi kyangwali, 400 walazwa

Wakati mamia ya wanaokimbia mzoozo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wakiendelea kumiminika nchini Uganda , wakimbizi sita wamethibitishwa kuaga dunia huku wengine zaidi ya 400, wakilazwa hospitalini baada ya kuugua ugonjwa unaoshukiwa kuwa kipindupindu katika kambi ya Kyangwali nchini Uganda. 

Sauti -
1'21"