kutupalong

Mustakabali wa elimu kwa watoto na barubaru wa kirohingya uko hatarini- UNICEF

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limesema miaka miwili ya harakati za kila uchao za kujikwamua kimaisha kwa warohingya waliosaka hifadhi nchini Bangladesh zimetumbukiza nyongo mustakabali wa elimu kwa kizazi kizima

Warohingya huko Kutupalong wapatiwa mitungi ya gesi ili kulinda afya na mazingira

Huko Cox’s Bazar nchini Bangladesh ambako kuna kambi   ya Kutupalong inayohifadhi wakimbizi wa kabila la Rohingya kutoka Myanmar, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi,  UNHCR limeanza kusambaza mitungi ya gesi kwa lengo la kuwezesha wakimbizi hao kutumia nishati salama na endelevu.

Sasa angalau wakimbizi warohingya walioko Cox's Bazar wanaweza kulala usingizi

Hatimaye eneo jipya la makazi kwa wakimbizi warohingya walioko Bangladesh limekamilika na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi,

Sauti -
2'11"

Harakati dhidi ya dondakoo zaendelea Cox Bazar

Huko Bangladesh kwenye wilaya ya Cox Bazar kampeni ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa dondakoo inaendelea kwa wakimbizi kutoka Rohingya. Taarifa zaidi na Joseph Msami.

(Taarifa ya Joseph Msami)

Sauti -

Harakati dhidi ya dondakoo zaendelea Cox Bazar