Kujiuzulu

Mugabe ameondoka sasa ondoeni vikwazo Zimbabwe:UM

Wataalamu wawili huru wa Umoja wa mataifa wa masuala ya haki za binadamu wamekaribisha hatua ya kutomwaga damu Zimbamwe wakati wa kuhamisha madaraka kutoka kwa Rais Robert Mugabe ,na kutoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuunga mkono hatua hiyo kwa kuondoa vikwazo.

Sauti -

Mugabe ameondoka sasa ondoeni vikwazo Zimbabwe:UM