Kofi Annan

Tulipokuwa na shida Kenya, Kofi alikuwa nasi hadi suluhu kupatikana- Balozi Macharia

Hii leo katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa kumefanyika kumbukizi maalum ya Katibu Mkuu wa saba wa chombo hicho, Kofi Annan aliyefariki dunia tarehe 18 mwezi huu wa Agosti huko Uswisi baada  ya kuugua kwa muda mfupi. 

22 Agosti 2018

Jaridani leo na Siraj Kalyango anaanzia makao makuu ya Umoja wa Mataifa, kumbukumbu imefanyika leo ya Kofi Annan ikiongozwa na Katibu Mkuu wa UN Antonio Guterres na mwakilishi wa kudum

Sauti -
11'17"

21 Agosti 2018

Katika jarida maalum hii leo sikukuu ya Eid El Haj Assumpta Massoi anamulika wahudumu wa kibinadamu ambao kutwa kucha wanaweka rehani maisha yao ili kusaidia wale walio na mahitaji zaidi kuanzia Afrika, Asia, Ulaya, Pasifiki hadi Amerika, Jarida hili maalum linazingatia kuwa katika siku ya kimata

Sauti -
9'56"

Kofi Annan hakuiaibisha Afrika

Kofi Annan alikuwa kiongozi thabiti kutoka Afrika ambaye katu hakuwahi kufanya jambo la kuaibisha bara lake, amesema mwanadiplomasia nguli kutoka Tanzania Dkt. Salim Ahmed Salim.

Sauti -
1'29"

Kifo cha Annan kimewashtua wengi

Kufuatia  kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Saba wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan, wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa pamoja na watu waliowahi kufanya naye kazi wameendelea kutoa salamu zao za rambirambi kwa kiongozi huyo aliyeelezwa kuwa ni bingwa wa utu wa kibinadamu. 

Sauti -
1'55"

20 Agosti 2018

Hii leo Patrick Newman anaangazia jinsi gani wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa wanamkumbuka Kofi Annan, KatibuMkuu wa 7 aliyefariki dunia jumamosi huko Uswisi. Naye Dkt.

Sauti -
11'38"

Wanaombeza Kofi Annan hawafahamu utendaji wa UN- Dkt. Salim

Watu mbalimbali waliowahi kufanya kazi na Kofi Annan, wameendelea kuelezea majonzi yao sambamba na kile ambacho wanamkumbuka nacho. Miongoni mwao ni Dkt. Salim Ahmed Salim kutoka Tanzania

Annan afananishwa na dira ya bora zaidi ya maadili

Kufuatia  kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Saba wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan, wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa pamoja na watu waliowahi kufanya naye kazi wameendelea kutoa salamu zao za rambirambi kwa kiongozi huyo aliyeelezwa kuwa ni bingwa wa utu wa kibinadamu.

Wasifu wa Kofi Annan

Kofi Annan, raia wa Ghana ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa 7 Umoja wa Mataifa kutoka mwaka 1997 hadi 2006.

Kofi Annan amefariki dunia

Kofi Annan, raia wa Ghana na Katibu Mkuu wa 7 wa Umoja wa Mataifa ameaga dunia leo.