KJP

Kilimo hifadhi ndio mkombozi wetu- Wakulima Kigoma Tanzania

Kilimo hifadhi kinaturejesha ujana – Wanufaika Kigoma- TV

Sauti -
2'16"

25 Februari 2021

Jaridani hii leo Flora Nducha anamulika teknolojia na hatua ambazo serikali zinapaswa kuchukuliwa ili ziweze kunufaisha kila mtu na zilete maendeleo ya watu.

Sauti -

Kilimo hifadhi kinaturejesha ujana – Wanufaika Kigoma

Nchini Tanzania mafunzo ya kilimo hifadhi yaliyotolewa mwaka jana na shirika la chakula na kilimo la Umoja wa MAtaifa, FAO kwa wakulima mkoani Kigoma yameanza kuzaa  matunda na wakulima ndio mashahidi. 

08 Februari 2021

Hii leo jaridani ni mada kwa kina ambapo Grace Kaneiya kutoka Nairobi Kenya anaangazia wanufaika wa mradi wa shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa,

Sauti -
11'11"

FAO Tanzania yawezesha wakulima Kigoma kulima maharagwe yenye virutubisho 

Mikunde ni zao lenye manufaa mengi yaonekanayo kila uchwao na ni kutokana na faida nyingi zitokanazo na mikunde ndio maana Umoja wa Mataifa umetangaza tarehe 10 mwezi Februari kuwa siku ya mikunde duniani. 

Mradi wa UNCDF waleta nuru kwa wakulima Tanzania

Nchini Tanzania Umoja wa Mataifa kupitia shirika lake la mitaji UNCDF na wadau wamezindua mpango wa kutumia teknolojia ya simu ya kiganjani kumwezesha mkulima mkoani Kigoma magharibi mwa taifa hilo kuweza kupata pembejeo za kilimo wakati anapohitaji. 

Sauti -
3'3"

16 Desemba 2020

Sikiliza Jarida la Habari la Jumatano Desemba 2020 kwa habari, makala na mashinani, mwenyeji wako ni Flora Nducha.

Sauti -
11'49"

UNCDF na wadau Tanzania waondolea wakulima hofu ya kupata pembejeo 

Nchini Tanzania Umoja wa Mataifa kupitia shirika lake la mitaji UNCDF na wadau wamezindua mpango wa kutumia teknolojia ya simu ya kiganjani kumwezesha mkulima mkoani Kigoma magharibi mwa taifa hilo kuweza kupata pembejeo za kilimo wakati anapohitaji. 

FAO Tanzania yawapatia wakulima kifaa cha kupima afya ya udongo 

Hoja ya umuhimu wa kutunza bayonuai ya udongo, ambayo ni maudhui ya siku ya udongo duniani, inayoadhimishwa tarehe 5 mwezi desemba mwaka huu ni moja ya mafunzo waliyopatiwa wakulima wawezeshaji nchini Tanzania. 

26 Novemba 2020

Jaridani hii leo na Anold Kayanda tunaanzia Rwanda kumulika mafanikio ya kukabili COVID-19 kisha Kigoma Tanzania mkulima mwezeshaji Veneranda Hamisi na mafanikio ya mradi wa KJP.

Sauti -
12'50"