kiswahili

Neno la Wiki- Mtondoo haufi maji

Hii leo katika Neno la Wiki, mchambuzi wetu ni Ken Walibora mwanariwaya na mwanachama wa Chama Cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya, CHAKITA anachambua methali isemayo, Mtondoo haufi maji.  Walibora anasema kwamba methali hii inafananisha mtu aliyezoea mfano shida na k

Sauti -
58"

Methali: Kizuri hakikosi ila

Katika NENO LA WIKI hii leo mchambuzi wetu Ken Walibora, mwanariwaya na mwanachama wa Chama Cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya, CHAKITA anachambua methali Kizuri hakikosi ila.

Sauti -
58"

NENO LA WIKI-KUFA na KUFARIKI

Na sasa ni neno la wiki ambapo Bi. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, BAKIZA anachambua maneno KUFA na KUFARIKI. Bi. Mwanahija anasema kwa kawaida kufa linaweza kutumika kwa mnyama au binadamu.

Sauti -
1'

Neno la Wiki: Meza

Katika Neno la Wiki linachambuliwa neno MEZA.

Na mchambuzi wetu kwa leo ni Aidah Mutenyo Mwenyekiti wa idara za kiswahili katika vyuovikuu Afrika Mashariki

Sauti -
1'22"

Neno la Wiki- Kucha Mungu si kilemba cheupe

Katika Neno la wiki la leo  Mchambuzi wetu Ken Walibora, mwanariwaya na mwanachama wa Chama Cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya anafafanua methali isemayo  'Kucha Mungu si kilemba cheupe'

Sauti -
41"

Neno La Wiki- Muhanga

Katika neno la wiki ambapo leo Ijuma 28-09-2018 ,mchambuzi wetu ni Bi. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, BAKIZA anachambua neno Muhanga.

Sauti -
47"

28 Septemba 2018

Nchini DR Congo, mapigano yatishia harakati dhidi ya Ebola, UNHCR yashirikiana na

Sauti -
11'30"

Neno la wiki:Kozi halei kuku wa wana

Katika Neno la wiki la leo Ijumaa 21-09-2018 Mchambuzi wetu Ken Walibora, mwanariwaya na mwanachama wa Chama Cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya anafafanua methali isemayo 'Kozi halei kuku wa wana' .

Sauti -
57"

14 Septemba 2018

Ukosefu wa usawa wazidi kuweka pengo la ustawi wa wakazi wa dunia ya sasa. Huko Zimbabwe serikali  yafunga baadhi ya shule na maduka ya nyama kwa lengo la kudhibiti kuenea kwa kipindupindu kwenye mji mkuu Harare.

Sauti -
12'2"

Utamu wa lugha ni pale inapotumiwa kwa ufasaha.

Kiswahili kimekuwa na mchango mkubwa kwa wazungumzaji wake hususan Afrika Mashariki kikipigwa jeki na vyombo vya habari kama Radio kwa miaka mingi. Lakini sasa hali ikoje katika kukuza na kuendeleza lugha hii?  Ken Walibora ni mwana riwaya na pia amekuwa mwandishi habari akitumia lugha ya Kiswahili miaka nena miaka rudi,  Katika mahojiano ,maalum na Siraj Kalyango wa Idhaa hii amezungumzia lugha hiyo na jinsi vyombo vya habari vinavyohusika kuiendeleza.