kiswahili

24 APRILI 2020

Katika Jarida la Habari hii leo Flora Nducha anakuletea

Sauti -
10'46"

Uandishi wangu ulianza kwa taabu taabu- Walibora

Ken Walibora Waliula alizaliwa mwaka 1964 katika kaunti ya Bungoma nchini Kenya, huku akifahamika na wengi kama mpenzi wa lugha ya Kiswahili na mtetezi mkubwa.

Sauti -
49'36"

Kiswahili na lugha nyingine za mama ni muhimu katika kujenga utangamano

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya lugha mama, Umoja wa  Mataifa umepigia chepuo lugha ya Kiswahili ikisema kuwa ni miongoni mwa lugha inayozidi kupanuka kimatumizi duniani na kusaidia kueneza utamaduni wake.  Anold Kayanda na ripoti kamili.

Sauti -
2'6"

Lugha ya Kiswahili yazidi kupaa duniani-UNESCO

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya lugha mama, Umoja wa  Mataifa umepigia chepuo lugha ya Kiswahili ikisema kuwa ni miongoni mwa lugha inayozidi kupanuka kimatumizi duniani na kusaidia kueneza utamaduni wake.

Neno la Wiki- "HALIFU"

Neno la Wiki hii leo mtaalam wetu mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania BAKITA Onni Sigalla anachambua maana ya neno “HALIFU

Sauti -
57"

NENO LA WIKI- SHUKRAN YA PUNDA MATEKE

Neno la Wiki hii leo mtaalam wetu katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, BAKIZA  Bi. Mwanahija Ali Juma  anachambua maana ya methali “Shukran ya punda mateke”

Sauti -
31"

NENO LA WIKI- MDAKIZI

Neno la Wiki hii leo mtaalam wetu mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania BAKITA Onni Sigalla anachambua maana ya neno “MDAKIZI”

Sauti -
36"

Neno la wiki- Ukitaka cha uvunguni sharti uiname

Hii leo Ijumaa katika Neno la Wiki, Bi. Mwanahija Ali Juma ambaye ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana  ya methali ukitaka cha uvunguni sharti uiname

Sauti -
34"

Kiswahili kinalipa-mwanafunzi chuo kikuu cha Nairobi, Kenya

Kiswahili kinazidi kutamba na kutambuliwa kama lugha muhimu hata katika mafunzo ya tafsiri na ukalimani hususan nchini Kenya, katika Makala ya wiki hii Grace Kaneiya  wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa amevinjari katika chuo kikuu cha Nairobi kitengo cha tafsiri na ukalimani ambapo amezung

Sauti -
5'53"

Kiswahili kinazidi kutamba hata vyuoni ikiwemo Chuo Kikuu cha Nairobi Kenya

Wigo wa lugha ya Kiswahili unaendelea kupanuka kila uchao na ni kwa mantiki hiyo ambapo watu wengi wanajikuta wakichukua masomo ambayo yanajikita pia na lugha hiyo.