kiswahili

Neno la wiki-TREILA

Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili  la Taifa  nchini Tanzania , BAKITA  anachambua maana ya neno TREILA.

Sauti -
43"

Neno la Wiki- Methali: Hucheka kovu asiyefikwa na jeraha

Leo katika Neno la wiki tunaangazia methali ambapo  Mwenyekiti wa idara za Kiswahili katikaVyuo Vikuu vya  Afrika Mashariki Aida Mutenyo  anatufafanulia maana ya methali "Hucheka kovu asiyefikwa na jeraha."  Karibu!

Sauti -
46"

17 Julai 2020

Leo Ijumaa ni mada kwa kina tunakwenda nchini Uganda ambako ingawa si msimu w amvua, Ziwa Albert linafurika kila uchao na kusababisha mamia ya watu kukimbia eneo hilo, huku wafanyabiashara wakipoteza mbinu zao za kujipatia kipato,

Sauti -
9'58"

ENGA KABLA YA KUJENGA

Je, methali isemayo "ENGA KABLA YA KUJENGA" ina maana gani? Mwenyekiti wa idara za Kiswahili katika vyuo vikuu Afrika Mashariki Aida Mutenyo anaeleza.

Sauti -
40"

Nyimbo za wasanii kama Diamond Platnumz na Ali Kiba zinasaidia kueneza Kiswahili DRC na kutusaidia kazi ya ulinzi wa amani

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC,  lugha ya Kiswahili imekuwa nyenzo muhimu atika kutekeleza majukumu ya ulinzi wa amani ya Umoja wa Mataifa, ikitumiwa na walinda amani wa chombo hich hususan wale wanaotoka Tanzania,  sambamba na raia.

03 JULAI 2020

Mada kwa kina inamulika lugha ya Kiswahili na ulinzi wa amani huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. Mjini Beni, jimboni Kivu Kaskazini ambako walinda amani kutoka Tanzania wanahudumu chini ya bendera ya Umoja wa Mataifa.

Sauti -
9'58"

23 JUNI 2020

Ikiwa leo ni siku ya wajane duniani Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ame

Sauti -
14'9"

Neno la wiki-MANUVA

Tunaangazia maana ya neno "MANUVA" na mchambuzi wetu ni   Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili  la Taifa  nchini Tanzania , BAKITA 

Sauti -
42"

Neno la wiki-KIRUKA NJIA

Neno "KIRUKA NJIA" na mchambuzi  ni  mchambuzi wetu Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili  la Taifa  nchini Tanzania , BAKITA 

Sauti -
46"

Neno la Wiki-Ujana ni moshi

Sasa  ni Neno la wiki ambapo leo tutajifunza maana ya methali "Ujana ni Moshi" na mchambuzi wetu Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi katika kituo cha tafsiri na ukalimani 

Sauti -
57"