kiswahili

Neno la wiki- Ukitaka cha uvunguni sharti uiname

Hii leo Ijumaa katika Neno la Wiki, Bi. Mwanahija Ali Juma ambaye ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana  ya methali ukitaka cha uvunguni sharti uiname

Sauti -
34"

Kiswahili kinalipa-mwanafunzi chuo kikuu cha Nairobi, Kenya

Kiswahili kinazidi kutamba na kutambuliwa kama lugha muhimu hata katika mafunzo ya tafsiri na ukalimani hususan nchini Kenya, katika Makala ya wiki hii Grace Kaneiya  wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa amevinjari katika chuo kikuu cha Nairobi kitengo cha tafsiri na ukalimani ambapo amezung

Sauti -
5'53"

Kiswahili kinazidi kutamba hata vyuoni ikiwemo Chuo Kikuu cha Nairobi Kenya

Wigo wa lugha ya Kiswahili unaendelea kupanuka kila uchao na ni kwa mantiki hiyo ambapo watu wengi wanajikuta wakichukua masomo ambayo yanajikita pia na lugha hiyo.

20 DESEMBA 2019

Katika Jarida la mada kwa kina hii leo Anold Kayanda anakuletea

-Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amekutana na Papa Mtakatifu Francis na kujadili mengi ikiwemo kauli za chuki, haki za binadamu na maadhimisho ya amani ya sikukuu za Chrismas na mwaka mpya

Sauti -
9'58"

Neno La Wiki - Matumbawe

Neno la Wiki hii leo mtaalam wetu mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania BAKITA Onni Sigalla anachambua maana ya neno “MATUMBAWE”

Sauti -
53"

Neno la Wiki - Kwina

Hii leo Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa Tanzania, BAKITA Onni Sigalla anakuja neno Kwina akilihusisha sana na suala la kung'an'gania uongozi.

Sauti -
43"

Wakati umefika Kiswahili kiwe lugha rasmi ya UN - Tanzania

Vikao vya kamati ya Nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa vikiendelekea kwenye makao makuu ya umoja huo jijini New York, Marekani, Tanzania imerejelea wito wake wa kutaka lugha ya Kiswahili iwe miongoni mwa lugha rasmi za chombo hicho chenye jumla ya wanachama 193.

Jifunze Kiswahili- Shairi: Imekuwaje?

Hii leo kwenye Neno la Wiki tunasikiliza shairi kutoka kwake mwanariwaya na mwanachama wa Chama cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya, CHAKITA, Ken Walibora akighani shairi lake, Imekuwaje? Karibu!

Sauti -
1'11"

Lugha ya Kiswahili itapanua wigo wa kazi za UN Environment:Msuya

Shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa UN Environment leo 12 septemba 2019 limezindua tovuti mpya na mitandao ya kijamii kwa lugha ya Kiswahili.

Neno la Wiki: Mchirizi na Mtaro

Katika neno la wiki hii leo tunabisha hodi, Baraza la Kiswahili Zanzibar, BAKIZA ambako mchambuzi wetu  Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo anafafanua maana ya maneno MTARO na MCHIRIZI.

 

Sauti -
49"