kiswahili

Lugha ya Kiswahili yazidi kupaa duniani-UNESCO

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya lugha mama, Umoja wa  Mataifa umepigia chepuo lugha ya Kiswahili ikisema kuwa ni miongoni mwa lugha inayozidi kupanuka kimatumizi duniani na kusaidia kueneza utamaduni wake.

Kiswahili kinazidi kutamba hata vyuoni ikiwemo Chuo Kikuu cha Nairobi Kenya

Wigo wa lugha ya Kiswahili unaendelea kupanuka kila uchao na ni kwa mantiki hiyo ambapo watu wengi wanajikuta wakichukua masomo ambayo yanajikita pia na lugha hiyo.

Ukuaji wa Kiswahili washuhudiwa nje na ndani ya bara Afrika

Wakati watu wengi wakiendelea kuchukua wito wa kukifahamu Kiswahili lugha hii adhimu inaendelea kupanua wigo huku watu wengi zaidi wakitaka kuifahamu lugha ya kiswahili kwa ajili ya mazungumzo ya kawaida katika nchi ambako kiswahili kinazungumzwa au kama lugha ya kuwawezesha kufanya kazi na mashirika ya kimataifa.

 

Ajabu mswahili kupuuza lugha yake- Prof. Mutembei

Lugha yako ndio mkombozi wako!  Ikiwa leo ni siku ya Afrika, lugha za asili za Afrika nazo zimepigiwa chepuo na miongoni mwao ni lugha ya Kiswahili ambayo barani Afrika pekee inaongoza kwa kuzungumzwa na watu wengi zaidi, idadi ikitajwa kuwa ni zaidi ya watu milioni 200.

Wazungumzaji wa Kiswahili ni zaidi ya milioni 200- Prof. Mutembei

Vuta nikuvute imeibuka kuhusu idadi ya watu wanaozungumza lugha ya kiswahili duniani. Je ni milioni 98 kweli kama inavyojadiliwa sasa au la?

 

Neno la wiki: Mhanga, Manusura na Muathirika

Uwazi utasaidia kuondoa shuku juu ya silaha za maangamizi- Guterres

WHO na Kenya zahaha kudhibiti Chikungunya huko Mombasa

Alihesabiwa siku za kuishi lakini akaishi zaidi

Umoja wa Mataifa unaendelea kupigia chepuo usambazaji wa huduma za kujikinga na virusi vya ukimwi, VVU ikiwa ni moja ya utekelezaji wa lengo namba 3 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs.

Usaidizi wetu DRC uko njiapanda- IOM