Skip to main content

Chuja:

Kipato

Arne Hoel/World Bank

COVID-19 imepukutisha kipato cha familia zenye watoto

Tangu kuanza kwa janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 mwaka 2020, kaya mbili kati ya tatu duniani kote zenye watoto zimepoteza vipato, imesema ripoti mpya iliyochapishwa leo na Benki ya Dunia na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto duniani, UNICEF. Taarifa kamili inasomwa na Assumpta Massoi. 

Ni Sibongile Matume huyo, mkazi wa bustani ya Freedom jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini, akijitambulisha katika video ya UNICEF. COVID-19 imemuondosha kazini na sasa hana ujira, amefika katika kituo kupokea fedha za kujikimu yeye na watoto wake.” 

Sauti
2'43"