kigoma

Miradi ya UN yagusa maisha ya wakulima Tanzania

Leo ni siku ya Umoja wa Mataifa ambapo pamoja na mambo mengine tunaangazia kile ambacho chombo hicho chenye wanachama 193 kinatekeleza kule mashinani ili kuboresha maisha ya wananchi.

FAO Tanzania na harakati za kuinua wakulima mkoani Kigoma

Nchini Tanzania, Umoja wa Mataifa kupitia mashirika yake unatekeleza mpango wa pamoja wa kuchagiza maendeleo mkoani Kigoma ukiwa unalenga maeneo kadhaa.

Sauti -
4'7"

16 Agosti 2018

Jaridani hii leo na Patrick Newman, tunaanzia nchini Tanzania ambako Naibu Kamishna mkuu wa wakimbizi wa Umoja wa Mataifa amehitimisha ziara yake.

Sauti -
12'48"

Wakimbizi wa Burundi walalama kusahaulika

UNHCR na wadau wake hivi sasa wanahaha kutoa msaada na ulinzi kwa wakimbizi hao ambao wengi wapo Tanzania, Rwanda, Jamhuri ya Kidemokra

Sauti -
1'49"

Jua, mvua ni vyetu tukisaka elimu:wakimbizi Tanzania

Watoto wakimbizi kwenye kambi tatu nchini Tanzania wanakabiliwa na changamoto kubwa katika kupata elimu, maelfu wakilazimika kusomea nje chini ya miti kutokana na ukosefu wa fedha za ujenzi wa madarasa limesema shirika la kuhudumia wakimbizi

Sauti -

Jua, mvua ni vyetu tukisaka elimu:wakimbizi Tanzania