Ken Walibora

Jumuiya ya wanakiswahili ulimwenguni na duniani kote imehuzunika sana

Miongoni mwao ni Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili huko Zanzibar BAKIZA.

Sauti -
4'39"

Uandishi wangu ulianza kwa taabu taabu- Walibora

Ken Walibora Waliula alizaliwa mwaka 1964 katika kaunti ya Bungoma nchini Kenya, huku akifahamika na wengi kama mpenzi wa lugha ya Kiswahili na mtetezi mkubwa.

Sauti -
49'36"

Mimi ninaandika kwa kuifuata kalamu yangu-Walibora

Ken Walibora Waliula alizaliwa mwaka 1964 katika kaunti ya Bungoma nchini Kenya, huku akifahamika na wengi kama mpenzi wa lugha ya Kiswahili na mtetezi mkubwa.

Hakuna kitabu alichoandika Profesa Waliaula kikapuuzwa – Mbotela

Kufuatia kifo cha aliyekuwa nguli wa lugha ya Kiswahili nchini Kenya Profesa Ken Walibora Waliaula, baadhi ya watu waliomfahamu wametoa kauli zao juu ya mwendazake huyo ambaye pia alikuwa mwanahabari, mwandishi wa vitabu na mwanachama wa Chama cha Kiswahili cha kitaifa nchini Kenya, CHAKITA.

15 Aprili 2020

FLORA NDUCHA : Hujambo na Karibu kusikiliza Jarida kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa, kutoka hapa Marekani.

JINGLE (04”)

FLORA:Ni Jumatano  ya 15 Aprili mwaka 2020, mwenyeji wako hii leo ni mimi FLORA NDUCHA

Sauti -
12'5"

Jifunze Kiswahili- Shairi: Imekuwaje?

Hii leo kwenye Neno la Wiki tunasikiliza shairi kutoka kwake mwanariwaya na mwanachama wa Chama cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya, CHAKITA, Ken Walibora akighani shairi lake, Imekuwaje? Karibu!

Sauti -
1'11"

Neno la wiki-Daraja ukilibomoa ujue kuogelea

Ken Walibora mwanariwaya na mwanachama wa chama cha Kiswahili cha kitaifa cha Kenya anaichambua methali isemayo 'Daraja ukilibomoa ujue kuogelea'

Sauti -
55"

Neno la wiki-Baba alimpiga binti yake kwa kuwa alilewa

Na leo katika neno la wiki inaelezewa sentensi ambayo imejadiliwa sana kwenye mitandao ya kijamii na kwingine isemayo, baba alimpiga binti yake kwa kuwa alilewa.

Sauti -
58"

02 Agosti 2019

Katika Jarida letu la kina leo ijumaa Assumpta Massoi anakuletea

-Uchambuzi kuhusu changamoto ya usafirishaji haramu wa binadamu na htua zinazochukuliwa ili kukabiliana nao

Sauti -
9'56"

Neno la Wiki- "Ukikaa na Simba, vaa ngozi ya mamba"

Katika Neno la Wiki hii leo tunachambua methali isemayo, "Ukikaa na Simba, vaa ngozi ya mamba." Mchambuzi wetu ni Ken Walibora, mwanariwaya na na mwanachama wa Chama Cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya, CHAKITA. Fuatana naye mlumbi huyu wa lugha ya Kiswahili.

Sauti -
42"