Nchini Uganda mafunzo ya roboti yanafungua upeo wa watoto wa Shule
Kutana na Solomon Kingi Benge mwanzilishi wa kituo cha mafunzo ya trknolojia ya roboti .Ameamua kuusambaza ujuzi wake kwa wanafunzi katika shule nchini Uganda.

Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa WFP kwa ubia na Mamlaka ya Jiji Kuu la Kampala (KCCA), wameanzisha juhudi za kushughulikia tatizo la uhaba wa chakula na utapiamlo unaoongezeka katika wilaya ya Kampala ambayo ni sehemu ya kati mwa mji mkuu wa Uganda.
Serikali ya Uganda imeanza kuchukua hatua madhubuti kukabiliana na mlipuko wa homa ya bonde la ufa pamoja na ile ya homa ya Kongo.
Shirika la afya duniani WHO limeipongeza serikali ya Uganda kwa hatua za haraka kuweza kutambua mapema kutokea kwa mlipuko wa homa iliyopatiwa jina la Kongo inayoenezwa na kupe aliyebeba virusi hivyo pamoja na homa ya bonde la ufa. Maelezo kamili anayo Siraj Kalyango.
Utafiti umebaini kwamba ukosefu wa vyoo safi na salama ni hatarishi kwa afya ya binadamu. Takwimu za mashirika ya ufya ulimwenguni kama WHO na wengine zinaonyesha kuwa jamii zinazoishi katika mazingira yasiyo na vyoo salama zipo katika athari za kupatwa na milipuko ya magonjwa yatokanayo ya ukosefu wa matumizi salama ya vyoo kama kipindupindu na magonjwa mengine.