KAKUMA

Mianzi na mabua vyageuzwa mlo Sudan Kusini

Utapiamlo uliokithiri sasa ukumba tu siyo watu wazima bali pia watoto. Sasa wanaishi kwa kula mabua na mianzi porini.

Usanii wanufaisha wakimbizi nchini Kenya

Katika tamasha la Muziki lililoleta pamoja washiriki zaidi ya 20 kutoka kambi ya Wakimbizi  ya Kakuma na Dadaab, pamoja na wanamuziki wengine kutoka mji mkuu Nairobi nchini Kenya, tunamulika ujasiri wa Mwanamuziki Ali Doze, Msanii ambaye ni mmoja wa wakimbizi katika kambi ya Dadaab nchini Kenya.

Sauti -
4'4"

Chuo Kikuu cha wakimbizi kufunguliwa Kenya:UNHCR 

Umoja wa Mataifa unatambua kuwa wakimbizi nao licha ya kukimbilia ugenini kuokoa maisha yao, bado wana stadi mbalimbali na ujuzi ambao ukinolewa unaweza kuboresha siyo tu maisha yao bali pia maisha ya kule ambako wamesaka hifadhi.

01 Februari 2018

Sauti -
9'58"

Dola bilioni 3.2 zahitajika kwa wakimbizi wa Sudan Kusini

Wakuu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa yanayohusika na usaidizi wa kibinadamu na wakimbizi leo wametembelea kambi ya Kakuma nchini Kenya ili kushuhudia hali halisi ya kibinadamu wanayokabiliana nayo wakimbizi wa Sudan Kusini nchini humo.