Kakonko

Soko la Kakonko litasaidia kuinua uchumi wa jamii hususan wanawake Tanzania na Burundi

Biashara kati ya taifa moja na nyingine ni sehemu ya taswira ya kiuchumi na kijamii ya nchi nyingi barani Afrika na hususan maeneo ya mipakani. Na hali hiyo ndio inayoshuhudiwa mjini Kigoma mpakani mwa Tanzania na Burundi.

Sauti -
2'58"

Kikundi cha Umoja ni Nguvu Kakonko chanufaika na mafunzo ya FAO

Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa,

Sauti -
2'52"

FAO endeleeni kutuimarisha - Wanawake Kakonko

Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa, FAO kwa ushirikiano na serikali ya Tanzania wamesaidia wakulima hususan wilayani Kakonko  mkoani Kigoma kupata mbinu bora za kilimo na kuondokana na kilimo cha mazoea na hatimaye waongeze mazao ili siyo tu kukabiliana na umaskini bali pia kutokomeza njaa.

FAO msituchoke, endeleeni kutuimarisha - Wanakikundi Umoja ni Nguvu Kakonko

Wanawake wakulima wa kikundi cha Umoja ni Nguvu katika kata ya Katanga, wilaya ya Kakonko, mkoani Kigoma wameshindwa kuficha furaha yao kutokana na mafunzo ya kilimo bora kinachohimili mazingira.

Sauti -
3'20"

19 Mei 2020

Hii leo tunamulika COVID-19 na athari zake kwa watu wasio na chakula ambapo ripoti inasema umaskini utaua watu zaidi kuliko virusi vyenyewe.

Sauti -
12'48"

Mafunzo ya FAO sasa yamewezesha hata waume zetu kufurahia kilimo- Paskazia

Mashirika ya Umoja wa Mataifa yameendelea kubadilisha maisha ya wananchi kupitia miradi mbalimbali inayotekeleza huko nchini Tanzania.

Sauti -
4'22"