walinda amani wa Tanzania nchini CAR watoa msaada wa Madarasa na madawati
Mbali na jukumu la ulinzi wa amani nchini Jamhuri ya Africa ya Kati CAR, kikosi cha ulinzi wa amani kutoka Tanzania TANBAT 4 kinachohudumu chini ya mpango wa Umoja wa Mataifa ujulikanao kama MINUSCA nchini humo , kimeweka mikakati ya kusaidia na kuinua wananchi wa CAR kielimu kupitia shughuli mbalimbali.
Luteni Noela Julius Nyaisangah afisa habrari wa kisoki hicho anafafanua zaidi katika taarifa hii