Jordan

UNRWA  yapata fedha lakini zatosha mwezi mmoja tu

Baada ya vuta nikuvute na kutokuwa na uhakika wa ufadhili kwa shirika la Umoja wa Mataifa la misaada kwa wakimbizi wa kipalestina UNRWA, hatimaye kuna matumaini baada ya baadhi ya wahisani kujitokeza kusaidia angalau shule ziweze kufunguliwa mwezi ujao.

23 Julai 2018

Jarida la leo na Siraj Kalyango limesheheni habari motomoto.Msichana manusura wa kujilipua aaamua kutoa msaada kwa UNFPA; ukatili wa kijinsia bado mtihan

Sauti -
13'4"

Wakimbizi wenye matatizo ya figo Jordan nyota ya jaha yawaangazia

Wakimbizi wa Syria takriban 171 wanaoishi nchini Jordan wamekuwa wanasumbuliwa na matatizo ya figo na tiba yake ni gharama kubwa wasiyoweza kuimudu hadi sasa  ambapo habari njema imewaletea matumaini mapya. 

Sauti -
2'14"

Wakimbizi wenye matatizo ya figo Jordan nyota ya jaha yawaangazia

Wakimbizi wa Syria takriban 171 wanaoishi nchini Jordan wamekuwa wanasumbuliwa na matatizo ya figo na tiba yake ni gharama kubwa wasiyoweza kuimudu hadi sasa  ambapo habari njema imewaletea matumaini mapya. 

Muafaka wa ILO na UNHCR kuleta afueni ya ajira kwa wakimbizi Jordan

Shirika la kazi duniani ILO na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, wametia saini makubaliano mjini Aman Jordan wiki hii, yenye lengo la kuchagiza zaidi fursa za ajira bora kwa wakimbizi wa Syria na jamii zinazowahifadhi nchini Jordan.

Wakimbizi walio taabani Jordan waomba msaada usikatwe

Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR linahitaji msaada wa haraka wa dola milioni 116 ili kuendeleza mpango wa kusa

Sauti -
2'34"

Wakimbizi walio taabani Jordan waomba msaada usikatwe

Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR linahitaji msaada wa haraka wa dola milioni 116 ili kuendeleza mpango wa kusaidia wakimbizi wa Syria wasiojiweza nchini Jordan.

UNHCR inasema fedha hizo zisipopatikana, italazimika kukata msaada wa fedha kwa wakimbizi wa Syria walioko Jordan ikiwemo walio taabani.

14 Februari 2018

Sauti -
12'

Wakimbizi wafurahi kupata vibali vya kazi Jordan

Maisha ya wakimbizi wa Syria nchini Jordan yanaanza kupata nuru baada ya serikali ya nchi hiyo kuanza kuwapatia vibali vya kufanya kazi.