Jeel Albena

Taasisi ya kusaidia wakimbizi wandani nchini Yemen yashinda Tuzo

Shirika la Umoja wa mataifa lakuhudumia wakimbizi UNHCR limeitangaza taasisi ya Jeel Albena ya nchini Yemen kuwa mshindi wa mwaka 2021

Sauti -
2'50"

Mkimbizi ashinda tuzo ya wakimbizi ya Nansen! Kulikoni?

Shirika la Umoja wa mataifa lakuhudumia wakimbizi UNHCR limeitangaza taasisi ya Jeel Albena ya nchini Yemen kuwa mshindi wa mwaka 2021 wa tuzo ya wakimbizi ya Nansen kutokana na kazi nzuri ya kuwasaidia wakimbizi wa ndani nchini humo.