Jean-Pierre Lacroix

Licha ya hatari na uhaba wa fedha, ulinzi wa amani bado ni nyenzo muhimu:Lacroix

Licha ya kupunguzwa kwa bajeti na kuongezeka kwa majeruhi na vifo miongoni mwa walinda amani, bado ulinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa unabakia kuwa nyenzo muhimu katika kuchagiza amani na utulivu duniani, amesema mkuu wa operesheni za ulinzi wa aman iza Umoja wa Mataifa. 

Sauti -
1'40"

30 Julai 2018

Jarida la leo na Patrick Newman lina taarifa za kuvutia.Haki za  waathiriwa wa wasafirishaji haramu wa binadamu zizingatiwe;Ndoa za utotoni DRC; ulinzi wa amani una madhara yake; Hali ya hewa inabadilika kila mara.

Sauti -
11'57"