January Makamba

Taka za plastiki sio tu uchafu bali ni gharama- January Makamba

Changamoto za taka za plastiki sio tu katika uchafuzi wa mazingira na athari kwa afya za binadamu, bali pia ni gharama kubwa kuzikusanya na kuzitokomeza ikiwemo mifuko ya plastilki.

Sauti -
4'16"

03-06-2019

Leo tunaanza na masuala ya afya ya wajawazito ikielezwa kuwa katika kaya masikini barani Afrika, Asia na Amerika ya Kusini, gharama za tiba kwa wajawazito ni kubwa mno kiasi kwamba familia zinatumia njia za mkato na hivyo kuhatarisha afya ya mama na mtoto.

Sauti -
13'6"

Twakata misitu twajiumiza wenyewe- Samia

Nchini Tanzania nako maadhimisho ya siku ya mazingira duniani yamefanyika kitaifa jijini Dar es salaam ambako Umoja wa Mataifa, serikali na wadau wameazimia kuendelea kushirikiana ili kudhibiti uharibifu wa mazingira.

Sauti -
1'51"