iraq

Makaburi zaidi ya 200 ya halaiki yabainika Iraq, huu ni uhalifu dhidi ya ubinadamu:UN

Ukatili uliofanywa na waasi wa ISIL Iraq ni wa kutisha na unaweza kuwa ni uhalifu wa vita na uhalifu dhidi ya binadamu, imesema leo ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa.

Sauti -
1'54"

Fursa ya kwenye kituo cha ustawi wa jamii imemsaidia mwanangu mwenye usonji

Ingawa Umoja wa Mataifa umekuwa ukipigia chepuo watu wenye matatizo ya usonji wasitengwe wala kuenguliwa kwenye harakati za maendeleo yao, nchini Iraq, hali ni tofauti kwa mtoto Samer mwenye umri wa miaka 10 ambaye ameishi na upweke hadi kituo kimoja nchini Lebanon kilipoleta nuru kwenye maisha y

Sauti -
2'20"

Kituo cha ustawi wa jamii Lebanon chaleta nuru kwa mtoto mwenye mkimbizi mwenye usonji

Ingawa Umoja wa Mataifa umekuwa ukipigia chepuo watu wenye matatizo ya usonji wasitengwe wala kuenguliwa kwenye harakati za maendeleo yao, nchini Iraq, hali ni tofauti kwa mtoto Samer mwenye umri wa miaka 10 ambaye ameishi na upweke hadi kituo kimoja nchini Lebanon kilipoleta nuru kwenye maisha yake

Hongera Dkt. Mukwege na Murad mmetetea maadili yetu ya pamoja:Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amewapongeza washindi wa mwaka huu 2018 wa tuzo ya amani ya Nobel Nadia Murad na  Dkt. Denis Mukwege kwa kutetetea waathirika wa ukatili wa kingono kwenye migogoro ya vita na kusema “wametetea maadili yetu ya pamoja.”

ISIL imebadili mbinu na  hiki ni kitisho kipya- Ripoti

Ripoti mpya ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu tishio la ugaidi kutoka kikundi cha ISIL imetaja changamoto tatu ambazo zinaendelea kusababisha kundi hilo kuwa tishio la amani na usalama duniani.

13 Agosti 2018

Hii leo katika jarida la Umoja wa Mataifa Patrick Newman anakuletea:

Sauti -
12'21"

UN asilani haipaswi kulengwa na magaidi: Manusura

Tarehe 19 Agosti 2003, Umoja wa Mataifa ulipata pigo kubwa pale mshambuliaji wa kiujitoa muhanga alipoendesha lori lake ililosheheni vilipuzi hadi kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini Baghdad nchini Iraq na kujilipua. Shambulio hilo katika jengo la Hotel ya Canal lilikatili maisha ya watu 22 miongoni mwao ni Sergio Vieira de Mello, aliyekuwa Kamishina Mkuu wa haki za binadamu na mkuu wa mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq.

Ukata wafungasha virago wahudumu wa afya Iraq

Ukosefu wa fedha unatishia kufungwa kwa vituo muhimu vya afya nchini Iraq na hivyo kuacha mamilioni  ya watu bila fursa ya kupata dawa muhimu na huduma ya afya.

Hata kama nakula vitunguu, wangalikuwa wazima nisingalikuwa na hofu- Ronia

Mjumbe maalum wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, Angelina Jolie, amerejea tena nchini Iraq na kushuhudia jinsi wakimbizi kutoka Syria wanavyohaha kuishi ikiwemo kulea watoto wao wenye mahitaji maalum.

Mradi wa FAO na EU ‘kupiga jeki’ familia zilizoko hatarini Iraq

Jamii zilizoko hatarini katika maeneo yaliyokuwa na vita katika eneo la bonde la Ninewa magharibi mwa Mosul nchini Iraq zitaweza kuwa namnepo, kufuatia mradi wa Euro milioni 6 uliofadhiliwa na shirika la chakula na kilimo duniani, FAO na Muungano wa Ulaya, EU.