Iran

Tusisahau kuwasaidia Waafghanistan na jamii zinazowapa hifadhi: UNHCR

“Sasa kupita wakati mwingine wowote tunahitaji kusimama na Waafghanistan ambao wamebeba gharama ya mizozo, kuwahakikishia kuwa hawajasahaulika”

Tumeafikiana na Iran kuhusu kuendelea ukaguzi na ufuatiliaji wa nyuklia:IAEA 

Mkurugenzi mkuu wa shirika la kimataifa la nguvu za atomic IAEA Rafael Mariano Grossi amesema ameafikiana na Iran kuongeza mwezi mmoja zaidi ukaguzi na ufuatiliaji muhimu wa shughuli za nyuklia zinazofanywa na shirika hilo nchini Iran. 

Chonde chonde Iran msimnyonge Javid Dehghan: OHCHR

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa OHCHR leo imeitaka serikali ya Iran kusitisha mara moja hatua ya kutaka kumnyonga raia wa nchi hiyo anayedaiwa kuteswa hadi kukiri  kwamba ni mwanachama wa kundi la jihadi.

29 Januari 2021

Hii leo Ijumaa ni mada kwa kina , leo tutaelekea Nairobi, mji mkuu wa Kenya ambapo tutakutana na mfanyakazi wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi,

Sauti -
10'45"

COVID-19 imetupatia fursa ya kufahamu mengi-barubaru Iran

Kutana na mapacha wawili barubaru kutoka nchini Iran, wanasema janga la corona au COVID-19 limewafunza mengi, kuanzia kusomea nyumbani, kukabiliana na upweke na msongo wa mawazo na hata kupika

Sauti -
2'19"

COVID-19 imetufunza mengi na hata ambayo hatukutarajia: Barubaru Termeh na Toranj 

Kutana na mapacha wawili barubaru kutoka nchini Iran, wanasema janga la corona au COVID-19 limewafunza mengi, kuanzia kusomea nyumbani, kukabiliana na upweke na msongo wa mawazo na hata kupika na  majukumu mengine ya nyumbani. 

Timu ya WHO yawasili Tehran ili kuisaidia Iran kupambana na COVID-19

Timu ya wataalam wa shirika la afya duniani WHO imewasili mjini Tehran ili kuisaidia nchi ya Iran katika juhudi zinazoendelea za kupambana na mlipuko wa virusi vya Corona (COVID-19) nchini humo.

Eritrea bado yanyamazisha wapinzani- Ripoti

Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet, amesema hali ya haki za binadamu nchini Eritrea bado si nzuri licha ya mkataba wa kihistoria wa amani kati yake na Ethiopia mwezi Julai mwaka 2018.

Nimestushwa na kusikitishwa na ajali ya ndege Tehran hii leo:UN

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema ameshtushwa na kuhuzunishwa sana kuanguka kwa ndege ya abiria ya Ukrain hii leo Jumatano  karibu na mji mkuu wa Iran Tehran.

UN yaendelea kuhimiza amani Ghuba

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amerejelea wito wake wa Jumatatu wa ku

Sauti -
1'22"