IPC

Takribani watu milioni 1.9 hawatokuwa na chakula Msumbiji wakati wa msimu wa muambo:WFP

Ripoti iliyotolewa karibuni inayoelezea hali ya uhakika wa chakula nchini Msumbiji (IPC) inaonesha kuwa baada ya kukumbwa na vimbunga viwili zaidi ya watu milioni 1.6 wako katika hali mbaya ya kutokuwa na uhakika wa chakula katika kiwango cha daraja la 3 au zaidi katika wilaya 63 ambazo zimefanyiwa tathimini.

Dawa zapulizwa nyumba kwa nyumba huko DRC kuepusha kuenea kwa Ebola

Shirika la afya ulimwenguni, linashirikiana na vituo vya afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kuelezea umma jinsi virusi vya Ebola vinavyosambaa sambamba na kupulizia dawa ili kuzuia kusambaa zaidi kwa virusi hivyo.