24 Julai 2019
Katika Jarida la Habari hii leo arnold Kayanda anakuletea
-Mikoko yaleta nuru kwa wakazi wa Pwani ya kenya licha ya kuhifadhi mazingira kwa kupunguza hewa ukaa yawaletea kipato wananchi kwa mujibu wa UN Environment
-Vijana nchini Tanzania wakumbatia mabadiliko ya kuachana na matumizi ya mifuko ya plastiki na kujipatia kipato kwa kutengeneza mifuko mbadala ya karatasi
-Elimu katika shule 25 nchini Kenya yapigwa jeki na mradi wa UNICEF wa vitabu mtandaoni na matumizi ya Ipad