India

UN ikitaka kuendelea kuwa na manufaa inapaswa kuboresha ufanisi wake na kuweza kutegemewa:India 

Waziri mkuu wa India Narendra Modi ameliambia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hii leo katika mjadala mkuu wa wazi wa UNGA76 kuwa wakati India inafanya mageuzi, ulimwengu hubadilika. 

15 juni 2021

Assumpta Massoi hii leo anaanza jarida kwa kuangazia ripoti ya Shirika la Umoja wa Maraifa la Ajira ambao limetoa ripoti mpya hii leo ikionesha licha ya muongo mmoja wa uwepo wa mkataba wa kimataifa wa haki za wafanyakazi wa ndani,  bado kada hiyo inaendelea kupigania usawa na mazingira bora ya k

Sauti -
13'4"

COVAX kutimiza dozi milioni 65 za chanjo ya COVID-19 wiki hii:UNICEF

Mkakati wa kimataifa unaosimamiwa na Umoja wa Mastaifa kwa ajili ya usawa wa upatikanaji wa chanjo dhidi ya COVID-19 ujulikanao kama COAX umesema wiki hii utatimiza chanjo milioni 65 za corona au COVID-19. 

14 MEI 2021

Jaridani leo na Flora Nducha  anakuletea Habari kwa ufupi, Mada kwa kina ikimulika hali ya watoto nchini India ambako kunashuhudiwa sintofahamu kufuatia awamu ya pili ya COVID-19 na katika kuj

Sauti -
11'9"

UNICEF na wadau wahaha kunusuru watoto India 

Nchini India ambako ugonjwa wa Corona au COVID-19 umesababisha mtikisiko mkubwa kwenye jamii wakati huu ambapo takribani watu milioni 23 katika taifa hilo la pili kwa idadi kubwa ya watu duniani wameambukizwa Corona na kati yao hao takribani laki tatu wamefariki dunia. Idadi ya wagonjwa wapya kila siku inafikia laki tatu.

COVID-19 imeigharimu India kwa Kutozingatia masharti na kuchukua hatua mapema:WHO

Janga la corona au COVID-19 limeendelea kuwa jinamizi kwa India likiongeza idadi ya wagonjwa wapya kila siku kati ya 350,000 na 400,000 huku wengine kwa maelfu wakipoteza maisha, kwa mujibu wa shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO.  

Hofu yaendelea wakati tsunami ya COVID-19 ikighubika India

Mfanyikazi wa Umoja wa Mataifa nchini India ameelezea kuongezeka kwa kiasi kikubwa kwa maambukizi ya virusi vya corona au COVID-19 ambako ni nchini mwaka katika siku za hivi karibuni kama ni "tsunami", na amezungumzia "hofu" aliyohisi, wakati familia yake ya karibu ilipoambukizwa virusi hivyo. 

Mwalimu hajali kipato bali matokeo- Asema mshindi wa tuzo ya mwalimu bora duniani

Mwalimu Ranjitsinh Disale kutoka katika jimbo la Maharashtra ambaye ndiye mshindi wa mwaka wa Tuzo ya kimataifa ya Mwalimu bora duniani kwa mwaka 2020, amesema tuzo ya dola milioni 1 aliyoipata atagawana na washindani wenzake 9 waliofika ngazi ya fainali ili wakaendeleze elimu katika maeneo yao. 

Sauti -
2'1"

17 Februari 2021

Hii leo jaridani Flora Nducha anaanzia nchini India ambako mwalimu mmoja wa kiume ameshinda tuzo ya Mwalimu Bora Duniani kwa mwaka 2021 kwa mchango wake katika kutumia uwezo wake kuboresha elimu bila kujali kipato chake.

Sauti -
12'10"

Walimu kote duniani wanafanya kazi kwa ajili ya matokeo na si kipato-Mwalimu bora duniani 

Mwalimu Ranjitsinh Disale kutoka katika jimbo la Maharashtra ambaye ndiye mshindi wa mwaka wa Tuzo ya kimataifa ya Mwalimu bora duniani kwa mwaka 2020, amesema tuzo ya dola milioni 1 aliyoipata atagawana na washindani wenzake 9 waliofika ngazi ya fainali ili wakaendeleze elimu katika maeneo yao.