ILO100

23 Januari 2019

Hii leo tunaanzia huko Sudan ambako sintofahamu ya mustakabali wa watoto kwenye ghasia zinazoendelea imesababisha UNICEF kupaza sauti yake.

Sauti -
11'52"

ILO na kazi zenye staha kwa wakimbizi wa Syria nchini Jordan

Nchini Jordan kituo cha kusajili ajira kimekuwa na manufaa makubwa kwa wakimbizi ambao sasa wanajipatia ajira zenye hadhi na utu na hivyo kuweza kukimu siyo tu maisha yao bali pia ya familia zao.

Mustakabali bora wa ajira uzingatie maslahi ya binadamu na si vinginevyo- Ripoti

Kamisheni ya kimataifa ya shirika la kazi duniani, ILO kuhusu mustakabali wa ajira duniani leo imesihi serikali kuweka mikakati kwa lengo

Sauti -
1'48"

22 Januari 2019

Jumanne ya tarehe 22 Januari mwaka 2019, habari muhimu zaidi ni ile ya uzinduzi wa ripoti ya aina yake kuhusu mustakabali wa ajira duniani, IL

Sauti -
11'36"

Mustakabali bora wa ajira uzingatie maslahi ya binadamu na si vinginevyo- Ripoti

Kamisheni ya kimataifa kuhusu mustakabali wa ajira duniani leo imesihi serikali kuweka mikakati kwa lengo la kushughulikia changamoto zinazotokana na mabadiliko makubwa katika sekta ya ajira ili hatimaye ajira siyo tu iwe ni ya utu bali pia iwe endelevu.

ILO inatimiza miaka 100

Mwaka huu, ulimwengu utaadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwa shirika la kazi duniani ILO mwaka 1919 ikiwa ni sehemu ya mkataba uliomaliza vita ya kwanza ya dunia. Taarifa