IFAD

IFAD  yapatia wakulima Msumbiji stadi za mapishi bora ili kuepusha utapiamlo kwa watoto

Nchini Msumbiji mradi wa Umoja wa Mataifa umewezesha maafisa wa ugani kufundisha wakulima namna ya kulima mazao na kuandaa lishe bora na hivyo kuepusha utapiamlo ambao ni tatizo kubwa kwa watoto hususan kwenye jimbo la Cabo Delgado. 

Mabadiliko ya tabianchi ni mwiba kwa jamii za watu wa asili

Ahadi kuu iliyopitishwa na nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kupitia malengo ya maendeleo endelevu SDGs mwaka 2015 ni kutokumwacha mtu yeyote nyuma katika harakati zozote zile za maendeleo.

Sauti -
3'59"

Wakulima walioathirika na kimbunga Haiti kupigwa jeki na IFAD

Mfuko wa kimataifa wa ufadhili kwa maendeleo ya kilimo IFAD, na serikali ya Haiti leo wametia saini makubaliano ya kifedha ambayo yatasaidia kufufua shughuli za kilimo katika maeneo yaliyoathirika na kimbunga Matthew mwezi Oktoba 2016 nchini Haiti.

Tunashirikiana kukwamua wakazi wa vijijini na hatujali nani anapata sifa- WFP

Wakazi wa vijijini wanahaha siyo tu kusaka chakula bali pia kujikwamua kiuchumi jambo ambalo mashirika matatu ya Umoja wa Mataifa wameamua kuweka sifa pembeni na kushirikiana ili kuwaokoa.

Mfumo wa chakula enedelevu ndio muarobaini wa SGDs 2030: Graziano

Kongamano la kimataifa la siku tatu kujadili uzalishaji na uhakika wa chakula duniani linaendelea jumatano mjini Roma Italia.

Sauti -
1'42"

04 Aprili 2018

Jaridani leo, Siraj Kalyango anaanzia na mabomu ya kutegwa ardhini na utamsikia muathirika anayeshukuru kuwa angalau sasa ameepuka mitego hiyo. Chakula je vipi mustakhbali wake.

Sauti -
11'58"

Mfumo endelevu wa chakula ni muarobaini wa SGDs

Kongamano la kimataifa la siku tatu kujadili uzalishaji na uhakika wa chakula duniani linaendelea leo mjini Roma Italia.

21 Machi 2018

Katika jarida la leo tunakuletea habari njema ya maridhiano ya azimio la Kigali kuhusu eneo la biashara huru barani Africa.  Pia tukiadhimisha siku ya ushairi duniani hii leo, shairi la Love Mcharo  linaghaniwa na Nasir Ibrahim kutoka Tanzania katika harakati za kuchagiza malengo ya maendeleo endelevu SDG’s.

Sauti -
9'54"

Kama umasikini ungekuwa na sura, basi ni ya mwanamke wa kijijini: IFAD

Watu bilioni 1.7 wanaishi vijijini kote duniani huku zaidi ya asilimia 40 ya nguvu kazi yao katika kilimo ni wanawake  ambao  wakiilisha na kuindeleza jamii lakini wanasalia kuwa ndio masikini wakubwa.

Sauti -
1'23"

Kama umasikini ungekuwa na sura, basi ni ya mwanamke wa kijijini: IFAD

Watu bilioni 1.7 wanaishi vijijini kote duniani huku zaidi ya asilimia 40 ya nguvu kazi yao katika kilimo ni wanawake  ambao  wakiilisha na kuindeleza jamii lakini wanasalia kuwa ndio masikini wakubwa.