IFAD

06 Machi 2019

Jaridani leo mwenyeji wako ni Arnold Kayanda akianzia kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa ofisi ya Takwimu Tanzania Dkt.

Sauti -
13'47"

Mradi wa IFAD kukomboa wakulima na mazao yao Rwanda

Nchini Rwanda wakulima wanapoteza hadi asilimia 30 ya mazao yao kabla hata ya kufika sokoni kwa sababu ya ukosefu wa mbinu za kisasa za kukausha, kuhifadhi na kusafirisha mazao. Hali hiyo imesababisha mfuko wa kimataifa wa maendeleo ya kilimo, IFAD kusaidia wakulima kukabiliana na changmoto hiyo kwa kukarabati maghala na vituo vya kupokea mazao. Grace Kaneiya na maelezo zaidi.

Wakulima Bolivia waanza kufuata utaalam wa kijadi kuhusu mabadiliko ya tabianchi

Wakati viongozi wa ndunia wakiendelea kukuna vichwa mjini Katowice nchini Poland kusaka dawa mujarabu ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwenye mkutano wa COP24 hadi Disemba 14, jinamizi hilo limeendelea kuziathiri jamii mbalimbali duniani.  Nchini Bolivia, takriban asilimia 40 ya watu wa

Sauti -
3'17"

12 Novemba 2018

Jaridani hii leo mwenyeji wako ni Flora Nducha ambapo anaanza kwa kuangazia suala la usugu wa viuavijasumu kwa vijiumbe maradhi na kampeni ya wiki nzima iliyoanza hii leo ili kuelimisha umma juu ya dawa hizo ambazo hutumika kwa wanyama na binadamu.

Sauti -
12'57"

IFAD yawezesha wakulima Chad kuendelea kutumia ufuta kama kiambato kikuu cha mlo

Nchini Chad mradi wa mfumo wa kimataifa wa maendeleo ya kilimo, IFAD umesaidia wakulima kukabiliana na matatizo yaliyowakumba katika kilimo cha zao la ufuta linalotegemewa kwa lishe na kipato. Taarifa zaidi na Arnold Kayanda.

Uwekezaji vijijini ni muarobaini wa amani ya kudumu duniani- IFAD

Kuelekea jukwaa la amani litakaloanza kesho huko Paris, Ufaransa, Rais wa mfuko wa kimataifa wa maendeleo ya kilimo, IFAD Gilbert F. Houngbo, amesema atatumia kusanyiko  hilo kuwaeleza viongozi wa dunia juu ya umuhimu wa kuwekeza vijijini.

Kuna mafanikio na changamoto katika uhakika wa chakula:SOFI

Ripoti ya mwaka 2018 ya masuala ya uhakika wa chakula na lishe duniani :SOFI 2018, imeonyesha pande mbili katika suala hili, ingawa kuna changamoto nyingi lakini pia kuna mafanikio kiasi.

Sauti -
1'57"

SOFI 2018 yaonesha pande mbili za uhakika wa chakula duniani

Baada ya maendeleo ya muda katika masuala ya uhakika wa chakula na lishe duniani, ushahidi unaonesha kuwa njaa inaendelea kuongezeka,  imesema ripoti ya mwaka huu ya hali ya uhakika wa chakula na lishe duniani, SOFI, iliyochapishwa hii leo. Taarifa zaidi na Arnold Kayanda.

Mafunzo ya IFAD yamesaidia watoto wetu kuwa na afya njema

Nchini Msumbiji mradi wa Umoja wa Mataifa umewezesha maafisa wa ugani kufundisha wakulima namna ya kulima mazao na kuandaa lishe bora na hivyo kuepusha utapiamlo ambao ni tatizo kubwa kwa watoto hususan kwenye jimbo la Cabo Delgado. 

Sauti -
1'56"

29 Oktoba 2018

Jaridani hii leo na Siraj Kalyango tunaanzia huko Geneva, Uswisi ambako kumezinduliwa ripoti kuhusu hewa chafuzi na madhara yake kwa mtoto, WHO ikisema kuwa j

Sauti -
11'42"