IFAD

Mambo 8 usiyoyafahamu kuhusu fedha ambayo wahamiaji wanaituma katika nchi zao.

Jumapili hii dunia imeadhimisha kwa mara ya pili siku ya kimataifa ya  fedha inayotumwa na wahamiaji kwa ajili ya familia zao zilizosalia nyumbani.

Siku hii huadhimishwa kila tarehe 16 ya mwezi Juni katika kukumbuka mchango muhimu wa wafanyakazi wahamiaji kwa familia na jamii zao nchini mwao.

Mr. Eazi na Sherrie Silver na kampeni ya kuinua vijana vijijini

Mfuko wa kimataifa wa maendeleo ya kilimo, IFAD umezindua mpango bunifu wa kufungua fursa za kilimo kwa vijana vijijini hususan kwenye maeneo ambayo ni masikini zaidi ili hatimaye kutokomeza njaa na umaskini.

Sauti -
2'

03-06-2019

Leo tunaanza na masuala ya afya ya wajawazito ikielezwa kuwa katika kaya masikini barani Afrika, Asia na Amerika ya Kusini, gharama za tiba kwa wajawazito ni kubwa mno kiasi kwamba familia zinatumia njia za mkato na hivyo kuhatarisha afya ya mama na mtoto.

Sauti -
13'6"

Mr. Eazi na Sherrie Silver na kampeni ya kuinua vijana vijijini

Mfuko wa kimataifa wa maendeleo ya kilimo, IFAD umezindua mpango bunifu wa kufungua fursa za kilimo kwa vijana vijijini hususan kwenye maeneo ambayo ni masikini zaidi ili hatimaye kutokomeza njaa na umaskini.

30 Mei 2019

Hii leo tunaanzia Ujerumani ambako Katibu Mkuu wa UN Antonio Guterres amepokea tuzo ya mwaka huu ya Charlmangne inayopatiwa watu wanaochangia muungano wa Ulaya, ambapo mwenyewe kasema tuzo hiyo si yake bali ya wanawake na wanaume wa Umoja wa Mataifa wanaochangia kusongesha maadili ya Ulaya ulimwe

Sauti -
11'46"

Kilimo cha familia ni nguzo muhimu kufikia SDGs:FAO/IFAD

Shirika la chakula na kilimo FAO na mfuko wa kimataifa kwa ajili ya maendeleo ya kilimo IFAD leo wamezindua muongo wa kilimo cha familia na mkakati wa kimataifa wa hatua za kuzisaidia familia zinazoendesha kilimo hususani katika nchi zinazoendelea.

Nchini Kenya mradi wa IFAD na EU waimarisha uzalishaji na uwezo wa kununua miongoni mwa wakulima.

Nchini Kenya mradi wa pamoja wa serikali kwa ubia na mfuko wa kimataifa wa maendeleo ya kilimo, IFAD na Muungano wa Ulaya,, EU wa kuwapatia wakulima wadogo mtaji umesaidia kuongeza tija na kubadilisha maisha yao.

Sauti -
1'50"

14-05-2019

Jaridani Jumanne Mei 14, 2019 na Assumota Massoi.

-Katika siku ya tatu ya ziara yake nchini New Zealand , Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa heshima zake kwa waathirika wa shambulio la kikatili kwenye misikiti mjini Christchurch.

Sauti -
10'56"

Mradi wa IFAD na EU waimarisha uzalishaji na uwezo wa kununua miongoni mwa wakulima Kenya

Nchini Kenya mradi wa pamoja wa serikali kwa ubia na mfuko wa kimataifa wa maendeleo ya kilimo, IFAD na Muungano wa Ulaya,, EU wa kuwapatia wakulima wadogo mtaji umesaidia kuongeza tija na kubadilisha maisha yao.

Mradi wa IFAD kukomboa wakulima na mazao yao Rwanda

Nchini Rwanda wakulima wanapoteza hadi asilimia 30 ya mazao yao kabla hata ya kufika sokoni kwa sababu ya ukosefu wa mbinu za kisasa za kukausha, kuhifadhi na kusafirisha mazao.

Sauti -
2'17"