Ndoto yangu kusakata gozi la kulipwa haikutimia lakini sasa naitimiza kwa wengine: Aweys Haji Nur
Kama iliyo kwa wavulana wengi duniani, Aweys Haji Nur kutoka Somalia alipokuwa mdogo alikuwa na ndoto ya kuwa mwanasoka wa kulipwa.