idhaa ya kiswahili ya umoja wa mataifa

UNHCR yasaka dola milioni 157 kusaidia wahanga wa Boko Haram

UNRWA ‘kupitisha kikombe’ kusongesha operesheni zake

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wapalestina, UNRWA limeanzisha kampeni ya kuchangisha fedha ili kuweza kutekeleza operesheni zake, ikiwa ni mara ya kwanza kuchukua hatua hiyo tangu lianze operesheni zake mwaka 1950. Assumpta Massoi na maelezo zaidi.

Sauti -

UNRWA ‘kupitisha kikombe’ kusongesha operesheni zake

Usaidizi wetu DRC uko njiapanda- IOM

Hali ya kibinadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC iko njia panda kama ulivyo uwezo wa kifedha wa kuweza kushughulikia hali hiyo, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji, IOM hii leo . Siraj Kalyango na taarifa kamili.

(Taarifa ya Siraj Kalyango)

Sauti -

Usaidizi wetu DRC uko njiapanda- IOM

Ahadi yetu Colombia ipo palepale:Guterres

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres yupo ziarani nchi  Colombia, Amerika kusini katika jitihada za kuendeleza mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Colombia na makundi y

Sauti -

Ahadi yetu Colombia ipo palepale:Guterres

Tuache fikra potofu tunapojadili uhamiaji- Guterres

Mtazamo potofu kuhusu uhamiaji na wahamiaji umeendelea kukwamisha matumizi bora ya dhana hiyo kote ulimwenguni, amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres hii leo wakati akizindua ripoti yake kuhusu mbinu za kufanya uhamiaji uwe na manufaa kwa wote. Patrick Newman na ripoti kamili.

Hali Syria ni tamu na chungu- OCHA

Ziara yangu nchini Syria ni sawa na tamu na chungu kutokana na kile ninachoshuhudia, amesema mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na usaidizi wa dharura, OCHA, Mark Lowcock.

Sauti -